Author: Jamhuri
Matabaka katika elimu yanarudi?
Siku za karibuni hapa Dar es Salaam, jiji letu kioo cha Taifa hili, kumeonekana mabasi kadhaa yaliyoandikwa “INDIAN SCHOOL BUS” na mengine “YEMEN SCHOOL BUS”. Baadhi yetu walimu wa zamani tumeshtuka na kufikiria mbali kule tulikotoka enzi za ukoloni. Bado…
Sheikh Abeid Karume yu hai!
Aprili 7 ni siku ya kumkumbuka mwasisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume. Mzee Karume aliuawa nikiwa na umri mdogo; kwa maana hiyo sikumwona. Nimemjua kiongozi huyu shupavu kupitia hotuba zake na maandishi yanayomhusu. Ni miongoni…
Yah: Uhuru wa waganga wa kienyeji Tanzania
Siku kadhaa zilizopita, tumesikia baadhi ya miswada ya sheria ikiwa inafanyiwa kazi, kitu kizuri zaidi ni jinsi ambavyo sheria zilivyobainishwa na kuwa sheria nzuri kwa maana ya ukali wake kwa jamii ambayo ikikosea kufuata masharti itawajibika na adhabu hiyo. …
Tumkumbuke, tumuenzi Sheikh Abeid Karume
Leo tarehe 7 Aprili ni siku ya huzuni kwa Watanzania tunapokumbuka tukio la kikatili la kuuawa kwa mwanamapinduzi, mkombozi na mpigania haki ya Mwafrika na mpenda amani duniani, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni majira ya jioni, Aprili 7, 1972…
Ya kale siyo yote ni dhahabu
Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…
Wajua mgawanyo wa mali ndoa ya mke zaidi ya mmoja inapovunjika?
Kipindi fulani huko nyuma wakati nikieleza masuala ya sheria za ndoa, nilipata kuzungumzia utaratibu wa mgawanyo wa mali iwapo ndoa inavunjika. Kimsingi nilieleza mgawanyo wa mali katika msingi wa uwepo wa ndoa ya mke mmoja. Sikuwahi kueleza mgawanyo wa mali…