Author: Jamhuri
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya…
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA). Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu ya…
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
📌 Washiriki Waomba Kujengewa Uwanja Mpya wa Ndege Bukoba 📌 Dkt. Biteko Apongeza Wawekezaji K⁸agera Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Mkuu wa Mkoa…
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni. Taarifa hiyo kila mtandao unaongeza chumvi kutokana na kuwa na taarifa ya upande mmoja. Ufafanuzi ni kwamba, Bernard…
Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dk Samia kuaga mwili wa marehemu Tendwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Desemba 19, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kuaga mwili wa marehemu John Billy Tendwa ambaye aliwahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Akitoa Salama pole kwa waombolezaji wakati wa tukio la…