JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa,

. Na Abel Paul, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya…

DC Magoti atoa tahadhari ya mikopo kausha damu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani Petro Magoti, ametoa tahadhari kwa baadhi ya vijana na akinamama kujiepusha na mikopo ya kibiashara isiyo na nafuu ambayo inafahamika kwa “mikopo ya kausha damu.” Alisisitiza kuwa mikopo…

TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita katika kuendelea kuhamasisha ulipaji kodi wa hiali Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imezindua Ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu ambayo kwa lengo…

SADEC kuweka mikakati kufanikisha upatikanaji umeme wa uhakika

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam WANACHAMA wa Jumuiya za Nchi Kusini Mwa Afrika (SADC), sekta ya Umeme wamesema watahakikisha wanaweka mikakati endelevu na kujadiliiana ili kufufua vyanzo vya nishati hiyo kwa lengo la kufanikisha kusafirisha na kusambaza kwa wateja…

Waziri Stergoma ajiandikisha daftari la Mkazi la Mpiga kura

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Oktoba, 2024 amejiandikisha katika Daftari la Mkazi katika kituo kilichopo Kitongoji cha Unyamwezini Kata ya Itumbili Wilayani Magu. Mara baada ya kuwasili katika Kituo…

Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini

Waziri wa Madini Anthony Mavunde  amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza, ikivuka lengo la awali la makusanyo ya shilingi bilioni 247 katika  sekta ya madini. Akizungumza wakati wa mjadala wa mafanikio ya serikali…