Author: Jamhuri
Mourinho apandisha hasira Chelsea
Licha ya kubezwa, hasa kwa kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea imeamua kuhamishia hasira zake kwenye Ligi Kuu England (EPL) ambako inaongoza kwenye msimamo. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jose Mourinho, amesema katu sasa hawatang'oka katika nafasi hiyo…
Wenye VVU wakubali unyanyapaa kulinda CD4
Mbali ya kifungu cha 32 cha Sheria ya Kudhibiti Ukimwi namba 28/2008 kupiga marufuku unyanyapaa, watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) wamesema tatizo hilo bado ni kubwa. Kutokana na hali hiyo, jamii ya wenye VVU imedai imekuwa ikilazimika…
Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua
Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba…
Papa Francis anguruma tena
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, kwa mara nyingine ametoa kauli ya kuwaaga viongozi na waamini wake ulimwenguni kwamba kuna kila dalili za yeye kuachia ngazi hivi karibuni. Katika mahojiano yake na Kituo cha Televisheni cha Mexico,…
‘Nchi yetu haina dini’
Nchi yetu haina dini. Haya ni maneno maarufu katika masikio ya Watanzania. Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake maneno haya aliyasema mara kwa mara. Katika moja ya hotuba zake, alisema: “Siku moja nikiwa…
Mwasisi wa TANU: Rais ni Dk. Slaa
Mwasisi wa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU), Lameck Bogohe (93), amesema mtu pekee anayestahili kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod…