Author: Jamhuri
Kukataa rushwa ni ukombozi kwetu
Na Angalieni Mpendu Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa. Msemo wa ilani hii umesemwa miaka mingi katika nchi yetu, tangu awamu ya kwanza hadi hii ya nne ya utawala wetu huru wa Watanzania. Nasema kabla…
Matumizi ya mtandao yanakosa busara sasa
Taarifa za uongo za hivi karibuni zilizosambaa kueleza kuwa Mama Maria Nyerere ameaga dunia zimeibua maswali kuhusu wajibu na umakini wa baadhi ya watu wanaotumia teknolojia ya habari na mawasiliano. Aliyeanzisha uongo huo ni dhahiri alifahamu kuwa anaandika uongo kwa…
Kubadili hati ya nyumba, kiwanja kwa haraka andaa nyaraka hizi
Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina, yaani kutoka mmiliki wa awali kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua. Upo usumbufu unaosababishwa kwa makusudi na maofisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili…
Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara
Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…
Okwi amtaja Marco Reus
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, amemtaja Marco Reus wa Borussia Dortmund kuwa ndiye anayefanya apige mabao ya kiufundi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar, na kusababisha mabao hayo kuwa gumzo. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni jijini Dar es Salaam…
Maskini England, haina chake 2015
Wakati mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Uropa yakiingia hatua ya robo fainali, hali imekuwa mbaya kwa England kwa mwaka huu, baada ya timu zake zote kuondolewa kwenye michuano hiyo mikubwa yenye mvuto wa aina yake Ulaya. Everton…