Author: Jamhuri
Phiri aifuta Simba ubingwa wa Bara
Kocha wa zamani wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amewashauri Simba kuacha kuwaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kupigania angalau nafasi ya pili katika msimamo. Akizungumza katika mahojiano maalum na mwandishi wa makala hii, Phiri, aliyetimuliwa…
Barua ndefu kwa Zitto Zuberi Kabwe
Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika turiourithi kutoka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa – 'shikamoo komredi Zitto Kabwe'. Nakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka yoyote kuwa kamwe hutaishangaa. Kama ujuavyo, uandishi wa barua…
Mourinho apandisha hasira Chelsea
Licha ya kubezwa, hasa kwa kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea imeamua kuhamishia hasira zake kwenye Ligi Kuu England (EPL) ambako inaongoza kwenye msimamo. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jose Mourinho, amesema katu sasa hawatang'oka katika nafasi hiyo…
Wenye VVU wakubali unyanyapaa kulinda CD4
Mbali ya kifungu cha 32 cha Sheria ya Kudhibiti Ukimwi namba 28/2008 kupiga marufuku unyanyapaa, watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) wamesema tatizo hilo bado ni kubwa. Kutokana na hali hiyo, jamii ya wenye VVU imedai imekuwa ikilazimika…
Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua
Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba…
Papa Francis anguruma tena
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, kwa mara nyingine ametoa kauli ya kuwaaga viongozi na waamini wake ulimwenguni kwamba kuna kila dalili za yeye kuachia ngazi hivi karibuni. Katika mahojiano yake na Kituo cha Televisheni cha Mexico,…