JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati tendaji mradi wa SOFF yakutana kuidhinisha mpango kazi utekelezaji mradi

Kamati Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza mkoani Morogoro, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa…

Korea Kaskazini yaiweka Korea Kusini kama ‘nchi adui’

Korea Kaskazini imesema kuanzia sasa katiba yake inaiweka Korea Kusini kama “nchi adui,” ikiwa ni mara ya kwanza Pyongyang kuthibitisha mabadiliko ya kisheria yaliyoagizwa na kiongozi Kim Jong Un mapema mwaka huu. Nchi hiyo ililipua barabara na reli zilizokuwa zikiunganisha…

Biashara ya kaboni motisha kuhifadhi mazingira

Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Cyprian Luhemeja amesema Kaboni sio biashara bali ni Utunzaji wa Mazingira wenye motisha kwa mtu ili aendelee kuhifadhi na kutunza mazingira. Ameyasema hayo mkoani Morogoro alipotembelea Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Kaboni (…

Huduma upakuaji mafuta kuboreshwa bandarini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) itaendelea kuboresha huduma za upakuaji mafuta ili kupunguza muda wa meli kusubiri bandarini na hivyo kuboresha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa uhakika Akizungumza Oktoba 16,…

Watakiwa kufanya utafiti chanzo mimea vamizi Ngorongoro

na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amekitaka Chuo cha Misitu Olmotonyi kilichopo jijini Arusha kufanya utafiti katika Hifadhi ya Ngorongoro kubaini chanzo cha mimea vamizi. Dk Chana ametoa agizo hilo leo Oktoba…

Onyo la Washngton kwa Israel latajwa kuwa na uzito tangu kuzuka kwa mapigano

Onyo la Washington limetajwa kuwa lenye uzito zaidi tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israeli na wapiganaji wa Hamas mwaka uliopita. Aidha onyo hilo pia limejiri baada ya Umoja wa Mataifa kufanya tathimini wikendi iliopita na kubaini kwamba hakuna misaada…