Author: Jamhuri
NGOs za wanafiki na ziwatetee Wakenya hawa!
Asasi za kiraia (NGOs) zinazojihusisha na masuala ya wafugaji katika Wilaya ya Ngorongoro, hasa Loliondo, zinajua kwamba uhuni na ghiliba zake sasa zinaelekea ukingoni. Kwa miaka mingi zimetumia umaskini wa ndugu zetu Wamaasai kama kitegauchumi kikuu cha kuomba na kupokea…
Tukionee fahari Kiswahili (2)
Ilipokuja Awamu ya Pili ya Mzee Ruksa (Ali Hassan Mwinyi) mimi sioni kwa nini aliendeleza ule utamaduni wa kuongea Kiingereza katika dhifa zile za kitaifa au hata aendapo nje ya nchi yetu. Kulikuwa na ugumu gani kwa Mzee Ruksa kumwaga…
CCM inasafisha nyota Karimjee, asante Jaji Warioba
NA ALFRED LUCAS Huu kweli ni mwaka wa uchaguzi. Vioja na vitimbi havitaisha mwaka huu. Lengo la chama cha siasa chochote kile duniani ni kushika dola. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinataka kibaki madarakani, vile vinavyopambana na chama hicho, kadhalika. Kabla…
Mama akodisha baunsa kumchapa mtoto wake
NA VICTOR BARIETY, GEITA Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amelazimika kutoroka nyumbani na kwenda kuishi kwa wasamaria wema, baada ya kulemewa na kichapo kutoka kwa mwanaume mwenye kifua na misuli mipana (baunsa). Mtoto huyo, mwanafunzi wa Darasa la Saba…
Rais ajaye na hatima ya Tanzania (1)
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema yote anayotujaalia. Naamini kuwa ni kwa uwezo na mapenzi yake Mungu ndiyo maana tunayaweza yote tuyatendayo katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo, ni wajibu na haki kumshukuru yeye aliye na uwezo na…
CCM inaanguka polepole kama dola ya Warumi
Mwaka 476 kabla ya Kristu kuna historia ya pekee katika dunia ya sasa. Mwaka huu, dunia ilishuhudia kuanguka kwa Dola Kuu ya Warumi (Rome Empire) iliyokuwa imetawala siasa za Ulaya kwa millennia moja, yaani miaka 1,000. Dola hii ilikuwa ikiongozwa…