JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Matumizi ya mtandao yanakosa busara sasa

Taarifa za uongo za hivi karibuni zilizosambaa kueleza kuwa Mama Maria Nyerere ameaga dunia zimeibua maswali kuhusu wajibu na umakini wa baadhi ya watu wanaotumia teknolojia ya habari na mawasiliano. Aliyeanzisha uongo huo ni dhahiri alifahamu kuwa anaandika uongo kwa…

Kubadili hati ya nyumba, kiwanja kwa haraka andaa nyaraka hizi

Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina, yaani kutoka mmiliki wa awali kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua.   Upo usumbufu unaosababishwa kwa makusudi na maofisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili…

Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara

Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…

Okwi amtaja Marco Reus

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, amemtaja Marco Reus wa Borussia Dortmund kuwa ndiye anayefanya apige mabao ya kiufundi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar, na kusababisha mabao hayo kuwa gumzo.   Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni jijini Dar es Salaam…

Maskini England, haina chake 2015

Wakati mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Uropa yakiingia hatua ya robo fainali, hali imekuwa mbaya kwa England kwa mwaka huu, baada ya timu zake zote kuondolewa kwenye michuano hiyo mikubwa yenye mvuto wa aina yake Ulaya.   Everton…

Phiri aifuta Simba ubingwa wa Bara

Kocha wa zamani wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amewashauri Simba kuacha kuwaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kupigania angalau nafasi ya pili katika msimamo.   Akizungumza katika mahojiano maalum na mwandishi wa makala hii, Phiri, aliyetimuliwa…