JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Drones’ zitaua uhuru wa Afrika

Waafrika tulipokuwa tunaimba na kucheza ngoma, kusherehekea uhuru na matunda yake, vizazi vya waliokuwa wakoloni vilikuwa vinakuna vichwa kutafuta jinsi na namna ya kufuta hiyo furaha kutoka kwenye nyuso zetu milele.   Uchambuzi wa kina waliufanya kujua kilichosabisha wakoloni washindwe…

Semmy Kiondo kumng’oa Mama Kilango?

Kushindwa kufikia malengo, kukwama kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo la Same Mashariki, ni baadhi tu ya sababu zinazoamsha ari na kuchochea mori wana-CCM wanaojipanga kumng’oa Mbunge, Anne Kilango.   Mama Kilango alichaguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005 baada…

Walimu, wanafunzi wataja sababu matokeo mabovu

Kama ilivyoripotiwa katika toleo lililopita kwamba umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi, unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa…

Matabaka katika elimu yanarudi?

Siku za karibuni hapa Dar es Salaam, jiji letu kioo cha Taifa hili, kumeonekana mabasi kadhaa yaliyoandikwa “INDIAN SCHOOL BUS” na mengine “YEMEN SCHOOL BUS”.  Baadhi yetu walimu wa zamani tumeshtuka na kufikiria mbali kule tulikotoka enzi za ukoloni. Bado…

Sheikh Abeid Karume yu hai!

Aprili 7 ni siku ya kumkumbuka mwasisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume. Mzee Karume aliuawa nikiwa na umri mdogo; kwa maana hiyo sikumwona.   Nimemjua kiongozi huyu shupavu kupitia hotuba zake na maandishi yanayomhusu. Ni miongoni…

Yah:  Uhuru wa waganga wa kienyeji Tanzania

Siku kadhaa zilizopita, tumesikia baadhi ya miswada ya sheria ikiwa inafanyiwa kazi, kitu kizuri zaidi ni jinsi ambavyo sheria zilivyobainishwa na kuwa sheria nzuri kwa maana ya ukali wake kwa jamii ambayo ikikosea kufuata masharti itawajibika na adhabu hiyo.  …