Author: Jamhuri
Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu – Mwanaidi
📌Asema majiko yanayotoa nishati safi ya kupikia ni salama 📌Ataja Wanawake kuathirika zaidi na matumizi ya nishati zisizo safi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya…
Kuna uwezekano wa kiongozi wa Hamas kuuawa -IDF
Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) na Shirika la ujasusi Shin Bet wamethibitisha uwezekano wa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar, kuuawa katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa Gaza. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israeli, uwezekano wa…
Kibaha yafikia asilimia 33 ukusanyaji wa mapato robo ya kwanza 2024/2025
Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Kibaha Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani, imeongeza mapato yake ya ndani kutoka asilimia 23 hadi asilimia 33 katika kipindi cha robo ya kwanza (Julai-30 Septemba) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Aidha, halmashauri hiyo inaendelea…
Serikali kuwezesha vifaa vya uongezaji thamani madini ya vito na usonara kwa vijana wa TGC
●Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow(MBT) ⚫️Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ●Kuwajengea Uwezo wa masoko na kuwaunganisha na sekta ya ajira ●Lengo ni kuendeleza Ujuzi wa kiufundi na Ubunifu kwenye uongezaji thamani…
MSD Kanda ya Dar yakutana na wadau wake kuboresha upatikanaji bidhaa za afya
Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imeandaa kikao kazi na wadau wake wa mkoa wa Pwani kilichofanyika mkoani Pwani – Wilayani Kabaha katika Chuo cha Mwalimu Nyerere kuzungumza kwa pamoja namna ya koboresha upatikanaji wa bidhaa za…
Serikali yatangaza kiama kwa watumishi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imesema itaanza kuwashughulikia watumishi wake wanaoshukiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kueleza kuwa tabia hiyo ni kinyume na maadili ya kitanzania na kwamba inavuruga mfumo mzima wa maadili ya utumishi wa Umma….