JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kwanini unakosa scholarships ughaibuni kila ukiomba?

Tunamshukuru Mungu kwa kuingia mwaka mpya wa 2016. Kwa kawaida mwaka mpya unapoanza watu wengi huwa na malengo ya mwaka maarufu kama new year’s resolution. Wengine huwa na malengo ya kupunguza uzito, kupata kazi, kuanzisha familia, kufungua biashara, kuongeza elimu…

Nani anayefaidika na ‘misaada’ ya kigeni?

Novemba mwaka jana Watanzania walitaarifiwa kuwa Marekani inakusudia kuzuia “misaada” yake kutokana na kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 25 Visiwani Zanzibar, pamoja na kukamatwa kwa wanaharakati waliokuwa wakikusanya habari za uchaguzi jijini Dar es Salaam. Tukaonywa kuwa matokeo…

Rais Magufuli ainusuru Burundi

Tanzania imeinusuru Burundi kushambuliwa na majeshi ya Umoja wa Afrika (AU) baada ya kushauri na kusikilizwa kuwa pande zinazokwaruzana zichukue mkondo wa mazungumzo badala ya kuendelea na vita inayoweza kuiingiza nchi hiyo katika mauaji ya kimbari. Waziri wa Mambo ya…

‘Wandu makoko’

Huu ni usemi wa Kingoni unaotahadharisha wanadamu duniani. Una maana ya kuwa “Watu ni hatari”. Kwa lugha ya Kingoni neno ‘likoko’ ni mnyama au mdudu wa kuhatarisha sana na anaweza kumdhuru mtu wakati wowote ule.  Basi kwa usemi huo kuwa…

Hili si shamba la bibi aliyekufa

Nimepata kuifananisha hali ya sasa ya mapambano ya kuijenga nchi yetu na ile ya nchi iliyo vitani. Taifa linapokuwa vitani, hasa vita hiyo inapokuwa halali, wananchi wazalendo huungana kuitetea nchi yao isitwaliwe na adui. Kwa wazalendo, ushindi ndiyo dhima yao…

Mgori: Msitu ulioachwa ‘yatima’

Awali ya yote nawapongeza Wahifadhi wote wanaoendelea kuhakikisha wanyamapori wanaendelea kuishi kwa utulivu baada ya ujangili kupungua kidogo. Nawashukuru Wahifadhi, Polisi na Mahakama kwa hatua kali walizochukua hivi karibuni huko Mbeya, Mpanda na nakadhalika kwa kuyatupa majangili jela kwa miaka…