Author: Jamhuri
Polisi, Magereza wadaiwa sugu Moshi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imezitangaza rasmi taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro kuwa ni wadaiwa sugu. Taasisi hizo ni Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kilimanjaro, Chuo cha Taaluma ya Polisi (MPA),…
RC, wana mazingira watifuana K’njaro
Wanaharakati wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla (pichani), kufuta maagizo yake ya kuzitaka halmashauri za wilaya kuvuna magogo katika misitu ya asili kwa ajili ya kutengeneza madawati. Makalla akiwa wilayani Same hivi karibuni, alitoa maagizo…
JPM avalia njuga rushwa kortini
Rais Dk. John Magufuli ametikiswa na ripoti ya rushwa katika mahakama za Tanzania. Ameanza kulivalia njuga suala hilo kwa kasi ya ajabu. Mbali ya madai ya kubambika kesi kunakofanywa na Jeshi la Polisi, taarifa mpya zilizotua mezani kwa Rais Dk….
Tujadili uhalali wa bomoabomoa
Kama tujuavyo, Tanzania imepata Rais mchapakazi. Ni Dk. John Pombe Magufuli. Kupata Rais mchapakazi hapana shaka ni baraka. Lakini inaweza ikawa ni laana. Kwa vipi? Tuna viongozi tunaoendelea nao tangu Serikali ya Awamu ya Nne. Wengi wao hawakuwa wachapakazi. Walikuwa…
Watanzania hatuna budi kuheshimu sheria
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuvusha salama mwaka 2015 na kutujaalia kuuanza mwaka 2016. Ni vema na haki kumshukuru Mungu wetu kwa kila hali na kila mahali maana yote tunayaweza kwa mapenzi yake na si tu kwa uwezo wetu wenyewe. Kipekee…
Nabii Buberwa asisitiza kukutana na Rais Magufuli
Nabii Joseph Buberwa, ametoa mwito kwa mamlaka zinazohusika kumwezesha kuonana na Rais John Magufuli. Anasema yeye si nabii kama manabii wengine wa kisasa waliojaa duniani, wakidai wanahubiri injili na kufanya miujiza mbalimbali. Katika mahojiano maalumu na JAMHURI, Buberwa anasema: “Mimi…