JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?

Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo.   Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni…

CCM ni ya kuzikwa tu Oktoba 2015

Watanzania, mabadiliko ni leo si kesho; mabadiliko ni wiki hii si wiki ijayo; ni mwezi huu si ujao, mabadiliko ni mwaka huu si mwakani. Kesho hujaiona na hujui itakuaje, lakini uamuzi wako wa leo unaweza kuharibu kesho yako au unaweza…

JAMHURI latikisa tuzo za Ejat

Waandishi wa habari wa Gazeti la JAMHURI, Deodatus Balile na Victor Bariety, mwishoni mwa wiki iliyopita walijinyakulia tuzo za umahiri wa uandishi wa habari nchini (EJAT), zinazotolewa kila mwaka na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Balile aliongoza katika kundi la…

Mpinzani gani hana vinasaba vya CCM?

Weledi wa Sayansi ya Siasa wanaitambulisha siasa kuwa ni mfumo wa maridhiano unaohusisha kikundi cha watu walioafikiana kuwa na uamuzi wa pamoja (politics involves the making of a common decision for a group of people).  Kadhalika, uamuzi wa aina hiyo…

Korti Kuu yahukumu, RC Mulongo apinga

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kitengo cha Ardhi imetoa uamuzi wa kubomolewa jengo la biashara lililopo mbele ya kiwanja Na 14 kitalu E Nyegezi kilichopo maeneo ya Mkolani eneo ambalo limetengwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa ajili ya…

Magari mengi nchini ni utajiri au ulofa?

Kwa muda mrefu sasa nina dukuduku la kuuliza Wanatanzania wenzangu hasa wale wachumi waliobobea kama akina Profesa Ibrahim Lipumba au Profesa Simon Mbilinyi vile.   Suali langu; ni vigezo gani katika Taifa linaloendelea vinaonesha kukua kwa uchumi katika Taifa?  …