JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Wandu makoko’ (3)

Turudi enzi za Mzee Jumbe, Rais wa Awamu ya Pili, huko Visiwani. Utawala wake ulidhamiria kuleta mageuzi makubwa kule Visiwani. Kwanza alifikiria urais kamili hivyo aliotea nchi huru ya Visiwa vya Zanzibar. Katika azma hiyo alijikuta anawaingiza vijana wasomi katika…

Yah: Kikao cha Bunge na majipu yaliyokomaa ya posho za vikao

Tanzania ni moja kati ya nchi maskini sana duniani kutokana na kutotumia vizuri rasilimali zake na kuziendeleza. Lakini, pia ni nchi mojawapo ambayo utawala wa kujipendelea kisiasa katika kujilimbikizia mali umekithiri, hali ya kimaisha ya wanasiasa ni tofauti kabisa na…

Wadaiwa Sugu MUWSA ni jipu

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA), inahudumia Wakazi wapatao 194,756. Hii ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 pamoja na wakazi wengine 30,000 waliopo maeneo ya Wilaya za Hai na…

Ubaguzi Tuzo Oscar: Watu weusi wasusa

Mcheza filamu, raia wa Kenya, Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine Weusi kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo za Oscar. Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana…

Wenye Man United waikwepa timu yao

Mtendaji mkuu wa zamani wa Manchester United ya England, David Gill ameangalia uwezo wa timu hiyo kwa sasa akatikisa kichwa kisha akasema, “Hawa sio mashetani wekundu ninaowajua.” Bila kutafuna maneno wala kupepesa macho na kutikisa masikio, Gill amesema, “Ninachokiona kwa…

Familia ya JK yahusika UDA

Baada ya usiri wa muda mrefu juu ya familia ya Rais (mstaafu), Jakaya Kikwete, kuhusika na ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) uliotawaliwa na kiwingu, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebainika kuwa familia hiyo inahusika na ni…