Author: Jamhuri
Kule Fellain, huku Makapu
Kuna wakati ili ufanikiwe basi ni vyema kujifunza kwa yule aliyefanikiwa. Mtu aliyefanikwa kwa kumwangalia tu matendo yake unapata funzo. Unaweza kumwangalia namna anavyoongea, anavyotembea, anavyocheka na namna anavyochagua marafiki, kusikiliza watu na kadhalika na utajikuta umepata funzo kubwa sana…
Dakika 480 za Obama Kenya
Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, kusafisha njia Kenya kwa ziara ya siku tatu aliyoifanya mwanzoni mwa mwezi huu, imethibitika kuwa Rais Obama atatua Nairobi kwa ulinzi mkali na kufanya ziara ya saa 8 tu….
JWTZ wacharuka
Baada ya kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) kuua askari mahiri wawili wa Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) sasa limetangaza mkakati mzito wa kusambaratisha kundi hilo. Habari za uhakika kutoka ndani ya JWTZ zinasema…
Msigwa amgeuka Nyalandu
Wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ikitarajiwa kumwita kwa mara ya tatu Waziri wa Maliasili na Utalii kujadili mipango ya bajeti yake, ‘swahiba’ wake, Mchungaji Peter Msigwa, amemgeuka. Mchungaji Msigwa, Waziri wa Kivuli wa wizara hiyo, ameshtushwa na hasara…
Bandari Bagamoyo, kifo cha Bandari Dar
Imenichukua miaka miwili kufikiri juu ya hiki kinachoitwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Ujenzi huu ulianza kutajwa mwaka 2010, na ilipofika Machi 2013, Rais wa China, Xi Jinping, akatia saini mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo. Mkataba ukasema bayana kuwa…
JK iwezeshe NEC, ikifika Oktoba uende Msoga
Imenichukua takribani wiki mbili kutafakari kauli ya Mwenyekiti wa NLD, Dk. Emmanuel Makaidi, ambaye ni miongoni mwa wenyekiti wenza wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Katika mkutano na waandishi wa habari, Dk Makaidi akiwa…