Author: Jamhuri
Yah: Laana yangu kwa hawa, baraka kwa wale
Sasa niseme rasmi kuwa mimi nakubali siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kuwa nguzo yetu ya kujitegemea na kututoa hapa tulipo na kutupeleka katika nchi ya ahadi ya kunywa maziwa na asali, nchi ya ahadi ya Eden ambayo kwa hakika ndiyo…
Salaam wafanyakazi wote
Itakumbukwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei mosi mwaka huu, iliyofanyika kitaifa Uwanja wa Michezo CCM Kirumba, Mwanza, yalionekana na kusikika mambo mengi ikiwamo michezo, ngoma na nyimbo zilizosifu na kushauri utendaji bora wa kazi na kudumisha nidhamu ya…
CCM ina nia mbaya kwa makada wake?
Baada ya danadana ya muda mrefu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoendelea kukwamisha kumtangaza mgombea wao wa urais, sasa naamua kusema. Hii ni kwa sababu ni mwanachama wa kawaida na sina nafasi ndani ya vikao vya Kamati Kuu wala Halmashauri…
Sababu nne za ushahidi wa kuambiwa haukubaliki kortini
Ushahidi wa kuambiwa ni nini? Ushahidi wa kuambiwa ni ule unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya Mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi,…
Mila za Wazanaki: Mwitongo na Muhunda
Baada ya makala ya juma lililopita juu ya lugha ya Kizanaki, naendeleza makala inayofafanua mila na tamaduni za kabila la Wazanaki. Eneo la Butiama linalojulikana kama “Mwitongo” linatokana na neno la Kizanaki lenye kumaanisha “mahame”, eneo ambalo lilikuwa na wakazi…
Nguvu ya mawazo katika mafanikio kiuchumi
Kila kitu kinachoonekana duniani kilianza na mawazo. Mawazo ndiyo kiwanda kikubwa cha uumbaji wote unaoonekana duniani. Hata katika vitabu vya dini tunaelezwa kuwa Mungu aliamua (Mawazo) kuumba mbingu na nchi. Ninaposoma Biblia kuhusu habari hizi za uumbaji wa Mungu, kuna…