Author: Jamhuri
Abood, Makalla, Shabiby ni wabunge hatari Moro
Wakati mauaji na uhasama kati ya wakulima na wafugaji yakishika kasi katika wilaya za Kilosa na Mvomero, Morogoro, wananchi wamewalalamikia wabunge wa mkoa huo kuwa wanahusika mgogoro huo, JAMHURI limeweza kuripoti. Taarifa ambazo gazeti hili imezipata zinasema kwamba wananchi hao…
Nenda Sophia Yamola, nenda mpekenyuzi ukidai haki yako
Katika kipindi cha wiki moja, tasnia ya habari imepata pigo kubwa kwa kuwapoteza wapiganaji wake wawilikatika tasnia hii. Kwanza alikuwa ni Samwel Chamulomo, aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Kanda ya Kati, mauti yalipomkuta akiwa mkoani Dodoma. Pili ni Sophia Yamola, mwandishi…
Tumelogwa kuwa wanafiki
Awamu ya kwanza ya harambee ya ujenzi wa kituo cha yatima, shule ya sekondari na msikiti Patandi, Arumeru mkoani Arusha, imefana kwa kiwango kikubwa na kuwa miongoni mwa vielelezo muhimu vya kuuendeleza umoja na mshikamano wa Watanzania bila ya kujali…
Uamuzi wa kinafiki unaimaliza CCM
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM), mwishoni mwa wiki iliyopita, imetangaza rasmi kumalizika kwa adhabu dhidi ya wanachama wake sita waliodaiwa kufanya kampeni za urais kabla ya wakati. Uamuzi huo wa Kamati Kuu ya chama hicho ulitolewa na Katibu…
Hatma ya Tanzania iko kwa Jaji Lubuva
Waliosoma maandishi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji Mark Bomani, watakubaliana na mawazo yake. Hoja yake kuu ni kwamba Katiba mpya katika mazingira ya sasa ya nchi yetu, haiwezekani. Kwa maana hiyo hatuwezi kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka…
Yah: Laana yangu kwa hawa, baraka kwa wale
Sasa niseme rasmi kuwa mimi nakubali siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kuwa nguzo yetu ya kujitegemea na kututoa hapa tulipo na kutupeleka katika nchi ya ahadi ya kunywa maziwa na asali, nchi ya ahadi ya Eden ambayo kwa hakika ndiyo…