JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM wana la kujifunza

2015 ni mwaka ambao macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kuwa katika kipindi cha changamoto ya wanachama wake ambao wanasaka nafasi ya ukubwa wa nchi. CCM inakumbana na changamoto ya wanachama wake kupigana…

Wanawake wabakwa, nyumba zateketezwa

Wanawake tisa wa Kijiji cha Mabwegere, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wamelishutumu Jeshi la Polisi wilayani humo kwa kuharibu ushahidi, baada ya kubakwa na kikundi cha vijana wa ‘mwano’ kilichovamia eneo hilo na kuteketeza nyumba kwa moto. Wanawake hao pamoja…

Polisi tatizo migogoro Morogoro – Makalla

Baada ya wananchi wa Wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro kuwataja wabunge wa mkoa huo kuhusika na migogoro kati ya wakulima na wafugaji, Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla, amesema chanzo ni udhaifu wa Jeshi la Polisi. Amos Makalla, ambaye…

Stephen Wasira : Mimi si fisadi

Waziri Wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amesema yeye ni mtu safi asiye na kasfa ya ufisadi tangu kuzaliwa kwake. Akzungumza katika Ukumbi wa BoT, jijini Mwanza alipokuwa akitangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba…

Nilivyomfahamu Brigedia Jenerali Hashim Mbita (3)

Wakati Mbita anaanza kazi katika Kamati ile ya Ukombozi, dunia iligawanyika katika pande mbili ki-mawazo na mitazamo. Hii kisiasa tuliita enzi za vita baridi kati ya mataifa ya Ulaya (upande wa Magharibi na upande wa Mashariki). Hili nalo lilileta changamoto…

CCM tunayoiona ni uhunzi wa Kikwete

Kuna ule msemo wa “vita ya panzi, furaha ya kunguru”. Vyama vya siasa vya upinzani, kama kweli vina dhamira ya dhati ya kupata uhalali kutoka kwa Watanzania, mwaka huu wa 2015 ni mwaka sahihi kabisa wa kutimiza azma hiyo. Endapo…