Author: Jamhuri
Yah: Ummy Mwalimu tumbua jipu kwa DDT
Miaka ya nyuma ipatayo kama thelethini hivi nilikuwa mtu mzima, lakini ambaye ni mfugaji na mchungaji mzuri wa mifugo. Kwa wakati ule niliona kazi pekee duniani ni ufugaji hasa wa mbuzi na niliona mbuzi kama mali pekee mtu anayopaswa kuwa…
Shirika la Posta kuongeza kasi ya TEHAMA
Matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), yameshika kasi na kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa urahisi kwa wananchi kuhusiana na masuala ya kijamii, kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa. Kutokana na ukuaji wa kasi ya matumizi hayo ya TEHAMA,…
Zijue aina 7 za adhabu zinazotolewa na korti
1. ADHABU YA KIFO (DEATH PENALTY) Adhabu hii hutolewa kwa wenye makosa makubwa kama kuua kwa kukusudia (murder). Kifungu cha 26 Kanuni za Adhabu kinasema kuwa mtu atakapohukumiwa adhabu ya kifo basi adhabu hiyo itatekelezwa kwa kunyongwa kwa kitanzi mpaka…
Jose Chameleon azawadia miguu
Mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleon, amenunua jozi moja ya kiatu aina ya raba kwa dola 12.5 za Marekani (sawa na Sh milioni 27 za Tanzania). Wakati baadhi ya mashabiki wa muziki wakimbeza kwenye mitandao ya…
Harufu ya Mourinho yatapakaa Man Utd
Licha ya uongozi wa Manchester United ya England, kukana kuzungumza lolote kuhusu kinachoendelea kati yao na Kocha Jose Mourinho, taarifa za uhakika zinasema pande zote mbili, zimekuwa na mazungumzo mazito. Mourinho ni kocha mzoefu, mwenye maneno ya karaha na kejeli…
Madeni ya JK balaa
Deni kubwa ambalo Serikali inadaiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, linatishia uhai wa mifuko hiyo, kiasi cha baadhi kuanza kusuasua na hata kushindwa kulipa mafao kwa wanachama wake, JAMHURI inathibitisha. Hadi mwanzoni mwa mwaka jana, mifuko yote sita ilikuwa…