Author: Jamhuri
AGPAHI yamwaga misaada Shinyanga
Shirika la AGPAHI, linalojihusisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, limezindua majengo mawili kwa ajili ya Huduma za Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na vimelea hivyo. Shirika hilo linalofadhiliwa na watu wa Marekani…
GST yaongeza thamani madini ya nikeli
Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) kupitia maabara yake ya utafiti wa madini, imefanikiwa kuongeza thamani ya madini ya nikeli (Ni) kutoka katika mbale za Milima ya Mahanza-Haneti mkoani Dodoma. Akizungumza na MEM Bulletin, Mhandisi Priscus Kaspana, mmoja wa wanajopo…
CCM watosana hadharani Igunga
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamewakataa viongozi watatu wa chama hicho mbele ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Hassan Mwakasubi, JAMHURI inaweza kuripoti. Viongozi waliokataliwa na wanachama hao ni Katibu wa CCM wa…
CCM iruhusu ushindani wa haki urais
Kwa wiki takribani nne hivi, sijaonekana katika safu hii. Sikuonekana kutokana na matatizo ya msiba, lakini pia nikalazimika kufanya kazi mikoani. Huku niliko nakumbana na tunachopaswa kupambana kukiondosha. Sehemu nyingi za mikoani hakuna huduma ya data (Internet), simu zipo ila…
Tunalaani usambazaji wa picha chafu
Mchuano wa kuwania uwakilishi wa kwenye uchaguzi wa rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kushika kasi. Wagombea zaidi ya 30; kila mmoja anajitahidi kutumia mbinu, ama halali, au haramu, kutafuta kuungwa mkono. Kwenye mpambano huu kumeonekana mambo ambayo tunaamini…
Nini kimewachochea wasaka urais ?
Mara baada ya ratiba ya ndani ya CCM kutolewa, kumekuwapo na mfumuko wa wagombea waliojitokeza kuchukua na kurudisha fomu ya kuwania urais. Swali la kujiuliza ni je, utitiri huu umechochewa na nini? Hoja hii ni mtambuka ambayo inagusa maeneo…