Author: Jamhuri
Lubuva moto
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amesema wanaodhani atakipendelea Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye utangazaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu, wanajidanganya. Amesema yeye ni mtu mwenye msimamo usioyumba na hawezi kuzuia uamuzi wa watu kwenye…
Dimbwi halisababishi mafuriko
Mafuriko ni wingi wa maji uliopitiliza, wingi huo wa maji hutokana na nguvu za asili. Hakuna mwanadamu awezaye kuyatengeneza mafuriko kama ilivyo vigumu kwa kuyazuia, hakuna awezaye kuyazuia mafuriko. Hiyo ni nguvu ya asili. Pamoja na ujanja wote wa binadamu…
Sumaye alipua waliochota IPTL
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameibua upya sakata la uchotwaji mabilioni ya shilingi kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Singh Seth. Kampuni hiyo ilikuwa mbia wa VIP Engineering ya James Rugemarila ambao kwa pamoja walikuwa…
CCM, Ukawa hawawezi Katiba Mpya
Leo nimeona vyema niandike makala hii kugusia suala la Katiba Inayopendekezwa (mpya). Nimeamua kugusia suala la Katiba Mpya, baada ya kuona Chama Cha Mapinduzi (CCM) suala hili kwenye Ilani yao wameliacha kama fumbo la imani, hawaligusi, huku Ukawa wakisema watahakikisha…
Amani iendelee kutamalaki Uchaguzi Mkuu
Tumeanza wiki ya pili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Tunawapongeza Watanzania kwa kuvuka wiki ya kwanza tukiwa na kampeni zilizotawaliwa zaidi na hoja badala ya vurugu. Wajibu wetu kama vyombo vya habari ni kuendelea kulisisitiza suala la amani kwa kipindi…
Magaidi watishia kulipua Polisi
Jeshi la Polisi nchini limenasa waraka unaolenga kuvamia askari wa jeshi hilo au familia zao, hali ambayo imezusha hofu miongoni mwao. Kutokana na tishio hilo, tayari viongozi wa ngazi za juu wa jeshi hilo wameshaanza kujiwekea tahadhari katika maeneo wanayoishi…