JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Heko Jaji Lubuva

Jumamosi ya Agosti 29, mwaka huu Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva aliyezungumzia mambo mbalimbali likiwamo la namna ya kuhesabu kura. Mahojiano hayo yalizaa habari ndefu…

NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria

Septemba 2, mwaka huu maiti ya  Aylan Kurdi,  mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….

Mambo yanayoiumiza CCM mwaka huu

Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 nchini Tanzania, lakini kuna dalili za wazi kuwa huenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikatoka madarakani baada ya kuendesha Serikali kwa zaidi ya miongo mitano, yaani nusu karne. Ilidhaniwa kuwa uzoefu…

Septemba 11: Tukio lisilosahaulika Marekani (2)

Washington Dulles – American 77   Umbali mrefu wa Kusini Magharibi mwa Boston, viunga vya Virginia, Washington DC zaidi ya wanaume watano walikuwa wakijiandaa kupanda ndege saa 1:15 asubuhi. Miongoni mwao walikuwako Khalid Al Mihdhar na Majed Moqed. Walikaguliwa, ikakaguliwa…

Mkicheka na wamachinga watatundika mitumba Ikulu

Kampeni za Uchaguzi Mkuu zinaendelea. Mengi yanazungumzwa na wagombea na wafuasi wao. Ahadi nyingi za wagombea urais zinalenga kuwashawishi wapigakura wawachague. Zipo ahadi zinazofanana. Elimu, maji, vita dhidi ya mafisadi na wala rushwa, mikopo kwa wajasiriamali, ajira na ukomeshaji aina…

Wapumbavu na malofa sasa wanataka filamu ya Escrow

Sakata la kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond iliyopewa zabuni na serikali kwa njia za ubabaishaji limeendelea kushika kasi huku likiibuliwa kwa sura tofauti likitumiwa na CCM kuomba kura kwa wananchi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu….