Author: Jamhuri
Hoja nzito za Lowassa kuelekea Ikulu 2015
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Lowassa, amesema: “Watanzania tuna fursa ya pekee kuuondoa utawala wa CCM madarakani na kuleta mabadiliko ya kweli nchini.” Lowassa amesema hayo, katika salamu zake kwa Watanzania katika kitabu cha ilani ya…
CCM imechoka, adai Kingunge
Mwanasiasa wa siku nyingi, Kingunge Ngombale-Mwiru, amekiacha “utupu” Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kimegeuka misingi yake ya kuanzishwa kwake na kwa sasa kinaendeshwa kinyume cha Katiba na taratibu. Akizungumza na waandishi wa habari juzi nyumbani kwake, Kijitonyama Dar es Salaam,…
Sasa ni Lowassa, Magufuli
Leo naandika makala hii nikiwa mkoani Tanga. Naandika makala hii zikiwa zimesalia wiki tatu kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25. Nimepata fursa ya kusafiri maeneo mbalimbali ya nchi hii. Nimezungumza na watu mbalimbali. Nimesikiliza ahadi za wagombea urais Edward Lowassa…
Amani ya nchi mikononi mwa wahariri na Tume
Wiki iliyopita, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliandaa mikutano mbalimbali na wadau wake wakiwamo wamiliki wa vyombo vya habari na wahariri. Katika mikutano hiyo, mengi yamezungumzwa lakini kubwa ni kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini kuagizwa kufuata maadili…
Lubuva, wahariri mambo safi
Wahariri wa vyombo vya habari nchini wameagizwa kufuata maadili ya taaluma sambamba na sheria za uchaguzi, ili kuepuka kupitisha habari kutoka vyanzo visivyo rasmi. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewaambia wahariri kwamba wana dhamana…
Serikali yajipanga kudhibiti zebaki
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu, amesema kuna haja kwa nchi kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti vifaa mbalimbali vyenye madini ya zebaki. Dk. Ningu ameeleza hayo hivi karibuni jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua…