Author: Jamhuri
Nilichekwa kwa kumnyenyekea Mwalimu Julius Nyerere
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuishi karibu na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nashukuru kwa sababu Watanzania wengi, na walimwengu kwa jumla waliitamani fursa hiyo, lakini hawakuipata moja kwa moja isipokuwa kupitia sauti na pengine maandishi yake. Mwalimu…
Yah: Kukubali matokeo
Kuna msomaji wangu mmoja wa safu hii wiki jana alinipigia simu na kunisimulia hadithi moja nzuri, alianza kwa kujinasibu kuwa umri wake hauna tofauti sana na wangu japokuwa hakusema ana miaka mingapi. Anasema zamani kabla ya kuanza kushuhudia soka la…
Matamko yanatoka moyoni?
Watanzania mwaka huu wa 2015, ukweli wameuanza kwa shauku kubwa ya kutaka kupata viongozi wapya watakaowaongoza katika miaka mitano ijayo, na kuweka mustakabali wa maisha ya watu na maendeleo ya nchi. Shauku hiyo inatarajiwa kuwafikisha kwenye mshindo mkuu utakaowapatia viongozi…
Mugabe anasema tumuenzi Mwalimu Nyerere; sisi vipi?
Kesho ni Siku ya Nyerere, siku inayoadhimisha miaka 16 tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki mwaka 1999. Ni mwaka pia wa Uchaguzi Mkuu; mwaka unaotoa fursa kwa Watanzania kuchagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo kwenye ngazi za udiwani, uwakilishi,…
Hayatou kaokota dodo chini ya mwarobaini?
Katika vijiwe na hata maofisini, hakuna aliyewaza hata siku moja kuwa Dk. John Magufuli angeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais wa Tanzania mwaka huu. Kulikuwa na majina makubwa ambako wadau walijaribu kuyapima na kuona kwamba hana nafasi. Sina…
Lowassa: Wanajisumbua
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, amesema hana muda wa kuwajibu wale wote wanaomsakama, lakini amejipambanua kuwa anataka kuwatumikia Watanzania kuanzia mwezi huu. Lowassa amesema kwa malengo hayo ya kutaka kuwatumikia Watanzania ambao kwa…