Author: Jamhuri
Mkuu Kamandi ya Jeshi la Wanamaji apokea meli vita ya Jesi la India
Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Rear Admiral Ameir Ramadhan Hassan amefanya mapokezi ya Meli Vita aina ya INS SAGAR OPV ya Jeshi la India leo tarehe 12 Aprili 2025 katika Bandari ya Dar es Salaam. Mapokezi ya Meli…
Wabunge waipongeza Serikali kufanikisha ukarabati soko la Kariakoo
Wabunge wameipogeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kufanikisha ujenzi na ukarabati wa soko la Kariakoo ambalo limeboreshwa na kuwa na viwango vya kimataifa. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na…
TPHPA yasaini makubaliano kuendeleza mashirikiano na taasisi ya KEM
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MAMLAKA ya afya ya mimea na viatilifu Tanzania (TPHPA) kwa kushirikiana na Taasisi ya udhibiti wa kemikali ya nchini Sweden(KEM) wamesaini hati ya makubaliano ya kuendeleza mashirikiano ya pamoja katika utendaji kazi zao . Aidha…
Chama cha Mawakili wa Serikali kukutana Dodoma Aprili 14
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Chama Cha Mawakili wa Serikali Tanzania Deus Shayo amesema Chama hicho kinatarajia kufanya Mkutano wake Mkuu Aprili 14 hadi 15 mwaka huu Jijini Dodoma huku akiwataja zaidi ya Wanachama 2000 kuwa wanaweza kushiriki mkutano huo….
Bunge kukusanya Bil. 3/- kwa ajili ya shule ya wavulana
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kupitia Bunge Marathon 2025 Bunge limepanga kukusanya Sh bilioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Wavulana ya Bunge Jijini Dodoma. Kauli hiyo ameitoa leo…
Uchaguzi Tanzania 2025; Chadema ‘yasusia’ kusaini kanuni za maadili
Na Mwandishi Wetu Chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimetangaza kususia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ambaye ndiye mwenye dhamana ya kusaini kanuni hizo kwa niaba ya chama…