JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora VIONGOZI na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Tabora wametembelea familia ya mjane wa Kada wa CCM Jastin Magembe aliyejiua kwa sumu baada ya mgombea wao kushindwa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Katibu…

Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua

Chombo hicho cha Parker Solar Probe kilisafiri katika angahewa ya nje ya nyota yetu, kikistahimili joto na mionzi mikali. Hakitakuwa na mawasiliano yoyote kwa siku kadhaa wakati huu wa joto kali na wanasayansi watakuwa wakisubiri ishara, inayotarajiwa tarehe 27 Desemba,…

NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeunda timu ya operesheni maalumu ya kufuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria wachafuzi wa mazingira na kelele kwenye kumbi za starehe wakati wa…

Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini

Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton amelazwa hospitalini baada ya kupata homa, kwa mujibu wa msemaji wa chama cha Democrat. “Anasalia katika hali nzuri na anathamini sana utunzaji bora anaopokea,” Angel Ureña aliandika kwenye X, iliyokuwa Twitter. Alisema Clinton…

Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amekiri Israel  kuhusika na mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran mwezi Julai. Israel Katz alitoa maoni hayo katika hotuba yake akiahidi kuwalenga wakuu wa vuguvugu la Houthi linaloungwa…