Author: Jamhuri
Yaliyompata Nixon kumrudia Magufuli?
Wakati hekaheka za Uchaguzi Mkuu wa 2015 zimeisha hapa nchini, kwa washindi kupatikana ikiwa ni pamoja na mshindi wa kiti cha urais na chama tawala, nimegundua kwamba kumbe bado tunayo mengi ya kujifunza katika nyanja ya siasa. Nimeliona hilo baada…
Sababu za Ukawa kushindwa uchaguzi
Uchaguzi Mkuu wa tano katika Tanzania ya Vyama vingi umemalizika. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa uchaguzi huu ambao kila mtu (hata mwanachama wa Chama cha Mapinduzi au CCM) aliamini kuwa Ukawa ungeshinda. Kulikuwa na sababu nyingi zilizowaaminisha wananchi…
Haki za binadamu bila haki za wazee – 2
Sehemu ya pili ya kumbukumbu ya maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu ya Afrika ilifanyika Jumatano Oktoba 21, 2015 kwenye Hoteli ya New Afrika. Siku hiyo mambo yalinoga kweli. Kwanza, mgeni rasmi alikuwa Rais mstaafu wa Awamu ya pili,…
Rais Magufuli nuru mpya (1)
Toleo Na. 198 la Gazeti la JAMHURI la Julai 14, mwaka huu kwenye ukurasa huu niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari: “Kwanini sitomsahau Dk. Magufuli”. Maudhui ya makala hiyo yalikuwa kumpongeza yeye binafsi na wana CCM kwa uamuzi wao…
Yah: Ama awe wa kafara au sherehe, mbuzi ni mbuzi tu
Nianze kwa kulitakia afya njema Taifa letu kwa mara ya pili, afya ya amani na upendo, uzalendo uliotukuka na jinsi tunavyoweza kuwadhibiti wachache wenye tabia za ubinafsi na kuleta mtafaruku ya hapa na pale, namshukuru Mungu kwa kuwa ni muumini…
CCM sasa tupeni mabadiliko ya kweli
Nina kila sababu na nia ya kutoa pongezi na kongole kwa Watanzania kumudu kuendesha kampeni ya uchaguzi na kuwachagua madiwani, wabunge na rais kwa njia ya utulivu na amani. Oktoba 25, 2015 imepita, ikiwaacha Watanzania hao katika sura mbili tofauti…