JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Sitta akalia kuti kavu

Aliyekuwa Spika wa Bunge la 9 Samuel Sitta wiki iliyopita alipoonyesha nia ya kugombea uspika wa bunge, sasa ameanza kushughulikiwa, JAMHURI limebaini. Duru za uhakika zinasema Sitta anaunda upya mtandao wake ndani ya CCM baada ya mtandao wa awali kusambaratika…

Vita dhidi ya ujangili imguse kila Mtanzania

Kati ya mambo makuu yanayodhoofisha juhudi za kuhifadhi wanyamapori, hususan kupambana na ujangili, ni kutoonekana kumhusu mwananchi wa kawaida. Juhudi za uhifadhi na kumpambana na ujangili zinaonekana kutomhusu Mtanzania wa kawaida kwa sababu mbalimbali, na hasa yafuatayo: Jambo la kwanza…

Watanzania walijipanga kuikataa CCM

Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjemin Mkapa, akiwa Tanga alisema kwamba dunia ingeshtushwa kama ingesikia kwamba Watanzania wamekiangusha chama kikongwe kama CCM. Alisema kwamba CCM ni chama cha ukombozi kinachoendelea kuwakomboa Watanzania. Lakini…

Seif, CUF waanza kuunda Serikali Z’bar

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekuwa mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar hasa baada ya kutangaza kuwa anasubiri kuitwa na Tume ya Uchaguzi visiwani  humo (ZEC) kumtangaza. JAMHURI lilipowasiliana na Maalim Seif…

Siku zote ubabe unagharimu

Jumapili Oktoba 25, 2015 tulikuwa na uchaguzi wa kihistoria hapa nchini. Nimeuita uchaguzi wa kihistoria kwa namna ulivyoendeshwa.   Baada ya Tume ya Uchaguzi kupuliza kipenga Agosti 22, 2015 kuashiria mwanzo wa kujinadi wagombea katika Uchaguzi, kampeni zilianza kwa kishindo.  Haijawahi…

Rais Magufuli nuru mpya (2)

Rais Dk. John Magufuli, ameianza wiki yake ya kwanza ya uongozi kwa kuwapa faraja Watanzania. Toleo lililopita tuliandika mambo kadhaa ambayo tuliamini Mheshimiwa Rais angeanza nayo. Baadhi ya mambo hayo ni kuwashughulikia wakwepa kodi wakuu, kupigwa marufuku kwa safari za…