Author: Jamhuri
Kishindo cha Rais Magufuli
Rais Dk. John Magufuli, ameanza kutoa mwelekeo wa Tanzania mpya aliyokusudia kuijenga. Uamuzi wake wa kufanya ziara ya kushitukiza katika Wizara ya Fedha, umewafanya watumishi wengi wa Serikali waanze kuhaha. Pamoja na mafanikio hayo aliyoyapata saa chache tangu aapishwe mwelekeo…
Sitta amesahau nini bungeni?
Mwanasiasa wa siku nyingi, Samuel Sitta, ametangaza nia ya kuwania kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuna sentesi maarufu ya: “ni haki yake ya kikatiba.” Sawa, ni haki yake, lakini hata sisi wananchi tuna haki…
Dk. Magufuli abebeshwa ‘bomu’ chuma chakavu
Angali ana siku chache ofisini, tangu Dk. John Magufuli aanze kazi ya urais, wazalendo kadhaa wamejitokeza kumsaidia kutaja baadhi ya “biashara haramu” zinazokwenda sambamba na taarifa za ukwepwaji kodi hivyo kuliingizia taifa hasara ya mamilioni. Miongoni mwa biashara hiyo ni…
Hukumu yakosolewa Moshi
Mahakama inadaiwa kupindisha sheria na kumtoza mshitakiwa wa kukutwa na mali ya wizi faini ya Sh 800,000 badala ya kifungo kisichozidi miaka mitatu kama sheria inavyoelekeza. Mshitakiwa huyo, Devis Kavishe, alikamatwa na gari lililoibwa nchini Kenya mwaka 2012 aina ya…
Rais Magufuli epuka mitego ya Kikwete
Wiki mbili zilizopita sikuandika katika safu hii. Sikuandika kwa maana kwamba nilikuwa mbio nasafiri mkoa hadi mwingine, kwa kiwango kilichonifanya nishindwe kutimiza wajibu wangu. Lakini si hilo tu, matokeo kadri yalivyokuwa yanatoka, taarifa zinasambaa ilinilazimu kufunga breki kwanza, kwa nia…
Z’bar maliza mzozo ili Magufuli afanye kazi
Miongoni mwa habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili zinazungumzia Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad. Katika habari hiyo, Maalim Seif ametajwa sehemu mbili. Kwanza ni namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kinavyohaha kuweka mambo sawa…