JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kauli ya Mwalimu Nyerere bado inatinga

Si mara moja wala mbili kupitia safu hii ‘Fasihi Fasaha’ niliwahoji na kuwataka fikra Watanzania wenzangu, je, wakati umetimu kwa vyama vya siasa vya upinzani kupewa ridhaa ya kushika dola kupitia sanduku la kura? Nilifanya hivyo kutaka kujiridhisha baada ya…

Yah: Magufuli; kama uchaguzi ukiamriwa urudiwe TZ, kubali

Mwanangu Magufuli kutoka Chato, uliyekuja mjini kwa gea ya ubunge, umeleta kizaazaa mjini hata watoto wa mjini sasa wanahaha na sampuli ya Msukuma wewe, eti “hapa kazi tu” asiyeweza aanze mwenyewe kuondoka. Nasikia misemo mingi sana – kuna kugufulika, tingatinga,…

Mabadiliko mengine si ya kulazimishwa

Kwenye kitabu chake What is not sacred? (Kipi siyo kitakatifu?) mwandishi na mwanazuoni Padri Laurenti Magesa anajenga hoja kuwa mila na tamaduni za Waafrika wanaoishi chini ya Jangwa la Sahara hazikupewa uzito unaostahili pale jamii hizi zilipofikiwa na dini kutoka…

Namna ya kumzuia mwenzako katika ndoa kuuza nyumba

Upo wakati kwenye ndoa ambako mmoja wa wanandoa anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa,…

Rais Magufuli nakuomba upitie hapa

Kasi aliyoanza nayo Rais wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa Dk. John Magufuli inatia moyo. Kama kweli kelele zote za kutaka mabadiliko zilikuwa za kweli bila ajenda nyuma ya pazia ni wakati mwafaka wa kumuunga mkono kwa kasi hii aliyoanza nayo…

Kwani Simba mna kiasi gani?

Uungwana ni vitendo na uungwana huo huthibitika pale ukweli halisi unaposemwa bayana badala ya kukwepakwepa na kutafuta visingizio. Katika misimu mitatu mfululizo, mwenendo wa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam katika Ligi Kuu umekuwa si mzuri….