Author: Jamhuri
Lowassa, Maalim Seif waitesa CCM
Wagombea wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Maalim Seif Sharif Hamad kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wameikaba koo Serikali. Licha ya vikao kadhaa na viongozi…
TBS yafunga kiwanda cha KCL Moshi
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) mkoani Kilimanjaro limekifungia kiwanda cha kusindika maziwa cha Kilimanjaro Creameries Ltd (KCL) kilichopo Sanya Juu baada ya kubainika kutumia namba feki za ubora za shirika hilo kinyume cha Sheria ya Viwango ya mwaka 2009. Uchunguzi…
Walinda ‘wauaji’ Moshi washitakiwa kwa Rais
Rais Dk. John Magufuli, ameombwa aingilie kati sakata la mauji ya meneja wa baa ya Mo-Town ya mjini Moshi, James John aliyeuawa kikatili na wafanyabiashara wanne ndugu ambao hadi sasa wanatamba mitaani. John aliuawa Juni 9, 2009 katika kijiji cha…
Rais Magufuli epuka mitego ya Kikwete (2)
Leo naandika sehemu ya pili ya makala hii. Naomba niseme kuwa nimefarijika kutokana na mrejesho mkubwa kutoka kwenu wasomaji wangu. Nimefarijika kuona makala hii inanikutanisha na marafiki tuliopotezana miaka 30 iliyopita. Yupo mmoja wa marafiki zangu mara ya mwisho tumekutana…
TEWUTA walilenga kuipotosha TTCL
Novemba 10, 2015 Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Junus Ndaro, walizungumza na vyombo vya habari. Katika mazungumzo hayo, TEWUTA ilitoa salamu za pongezi kwa ushindi wa Rais…
Siasa za mauaji zisipewe nafasi
Tumeshitushwa na aina ya kifo cha Alphonce Mawazo – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita. Amekutwa na mauti kwa kile kinachodaiwa kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka. Baadhi…