JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu ajiandikisha kijijini kwake Nandagala

Na Mwandishi Wetu, Ruangwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Waziri Mkuu ambaye alifuatana na mkewe Mama Mary Majaliwa,…

Mbio za Kilimanjaro kuiweka Tanza kwenye ramani

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amesema Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ni chachu katika kukuza utalii na kuiweka Tanzania katika ramani ya riadha na utalii Kimataifa. Chana ametoa kauli hiyo…

Viongozi wa dini Tanga washauri kuliombea taifa

Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Tanga Viongozi wa dini mkoani Tanga wameishauri serikali kuweka siku maalum ya kuliombea taifa wakati huu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili taifa liendelee kubaki salama. Ombi hilo wamelitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa…

Ismail Jussa aanza ziara Chaani Kaskazini Unguja

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa leo Oktoba 19 ameanza ziara katika Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ziara hiyo ni mpango wa kutembelea majimbo 50 kupitia mkakati maalumu wa kuweka mazingira bora kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

Hakimu aeleza kwanini Fatma Kigondo ‘Afande’ kutoshtakiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo, maarufu kama Afande, baada ya kubaini kasoro kadhaa katika malalamiko hayo. Uamuzi huu ulitolewa jana na unamaanisha…

Iran yasisitiza ahadi ya kuunga mkono Palestina

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisisitiza tena ahadi ya kuunga mkono Wapalestina kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas.q Katika taarifa yake juu ya X, Khamenei alisema “kupoteza kwa Yahya Sinwar ni chungu…