Author: Jamhuri
Umejiandaaje na ‘kibano’ cha Magufuli kiuchumi?
Wapendwa wasomaji, ninawasalimu kwa salamu za upendo. Naamini kwamba wengi wenu mnaendelea kufurahia, kushangaa, kupigwa na bumbuwazi ama kuchanganyikiwa kwa hatua mbalimbali zinazochokuliwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, au…
Imetimia nusu karne tangu kifo cha Salum Abdallah
Salumu Abdallah Yazidu (pichani)hatosahaulika kamwe katika ulimwengu wa muziki. Alikuwa mtunzi, mwimbaji wa bendi ya Cuban Marimba iliyokuwa na maskani yake katika mji wa Morogoro. Wakati wa uhai wake alileta ushindani mkubwa katika muziki wa dansi mjini humo akishindana na…
Bundi atua Man Utd?
Klabu ya Manchester United ya jijini Manchester nchini England imeanza kupasua mioyo ya mashabiki wake baada ya kupata sare tatu mfululizo ndani ya majuma mawili. Man United maarufu kama Mashetani Wekundu ilipata sare nyumbani katika mchezo wa ligi ya mabingwa…
Mizengo mgonjwa
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda anaumwa. JAMHURI limeambiwa kuwa Pinda ni mgonjwa kwa kipindi cha wiki mbili sasa, hali iliyomfanya asionekane hadharani. Si upande wa Serikali, wala familia yake waliokuwa tayari kueleza maradhi yanayomsumbua mwanasiasa huyo. Hata hivyo, watu walio…
Kikwete matatani
Ujasiri wa Rais John Magufuli, wa kueleza madhara ya safari za nje kwa uchumi wa nchi, umemwongezea umaarufu miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa wasafiri wakuu nje ya nchi alikuwa mtangulizi wake, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, anayetajwa kuwa ndiye kiongozi wa…
Waziri aunda mchongo kabla ya kuachia ofisi
Mgogoro mkubwa umeibuka ukiwahusisha wafanyabiashara ya uwindaji wa kitalii na Serikali. Chanzo cha mtafaruku huo ni uamuzi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, siku chache kabla kuachia ofisi, kufuta Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za mwaka 2010…