Author: Jamhuri
Siasa za Zanzibar ni za aina yake (2)
Ili kudhihirisha kuwa Zanzibar kuna tofauti za kiitikadi za kihistoria na hasa kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba hapa kuna mifano ya matokeo ya chaguzo zilizofanyika Zanzibar tangu 1957 mpaka 2010. Katika uchaguzi wa kwanza 1957 ASP walipata viti…
Tupigane vita hii kwa umoja
Waandishi wa habari hutakiwa wazingatie miiko na maadili ya uandishi wanapofanya kazi zao. Baadhi ya mambo wanayotakiwa kuyazingatia ni kuhakikisha wanatenda haki sawa kwa wanaowaandika. Kwa maneno mengine ni kwamba wanatakiwa watoe fursa ya kusikiliza kila upande unaoguswa kwenye habari…
Yah: Ukisikia ukunga porini jua jiwe limemkuta mkweo
Mwanangu John, sasa ni mwezi mmoja tangu tulipoachana na ukawa mtu wa Serikali, ule uwezo niliokuwa nao wa kuongea na wewe jioni kibarazani haupo tena, nikitaka kukuona ni lazima nipite mageti saba ya walinzi ambao watajiridhisha na sababu zangu za…
Desemba 9 na usafi wa makazi
Kesho ni Jumatano Desemba 9. Tarehe kama hii mwaka 1961 nchi ya Tanganyika ilipata Uhuru wa bendera baada ya kutawaliwa kwa mabavu kwa kipindi cha miaka ipatayo 77 na wakoloni wa Kijerumani na wa Kiingereza. Kwanza ni Wajerumani waliotawala kwa…
Ijue biashara ya uwakala kisheria
Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni kubwa mno. Wapo mawakala mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Vodacom n.k, mawakala kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na kampuni nyingine nyingi. Mtindo wa biashara…
Athari za elimu bila pesa
Akifafanua madhumuni ya elimu kwa Taifa katika kuielezea sera ya Elimu ya Kujitegema, Rais Julius Kambarage Nyerere alitamka yafuatayo: “Kurithisha kutoka kizazi kimoja hadi kazi kingine maarifa na mila za Taifa, na kuwaandaa vijana wawe tayari kuchukua nafasi zao katika…