JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

JK alivyoiumiza nchi

Ukiwa ni mwezi mmoja tangu Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, ang’atuke kikatiba, duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa kiongozi huyo aliliumiza Taifa kwenye nyanja nyingi. Wakati akiingia madarakani mwaka 2005, deni la Taifa lilikuwa Sh trilioni 5.5; lakini miaka…

Makachero 32 wapanguliwa Moshi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewaondoa maofisa wake 32 kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (CID) na kuwapeleka katika vitengo vingine. Wamehamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kwenda kinyume cha maadili na mwenendo wa Jeshi hilo. Aliyekuwa…

‘Jangili’ Ojungu wa Arusha akamatwa

  Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ngaramtoni, Arusha, alikamatwa Desemba 5, mwaka huu katika kile kinachoelezwa kuwa ni mpango wa Serikali ya Awamu ya Nne wa kukomesha vitendo vya ujangili. Pamoja naye, mtuhumiwa mwingine, Godfrey Sekito (God Mabita au God Mapesa),…

Mengi, Muhongo, mawaziri chapeni kazi

Nikiwa hapa mkoani Morogoro, nimesikia tangazo la Baraza la Mawaziri. Itakumbukwa kuwa mara kadhaa nimesema na nimeendelea kuamini kuwa Profesa Sospeter Muhongo alistahili kurejeshwa katika Wizara ya Nishati na Madini.  Si Muhongo tu bali hata Katibu Mkuu aliyeondolewa, kisha akapangiwa…

Wateule: uwaziri si ulaji, ni kazi tu

Ukurasa wa 12 wa gazeti hili tumechapisha majina ya mawaziri wapya pamoja na wizara watakazoongoza. Pia wamo naibu mawaziri katika wizara kadhaa. Mawazari na naibu mawaziri hao walitangazwa Alhamisi iliyopita. Siku hiyo walitangazwa jumla ya 30 huku wengine Rais Dk….

Jaji Msuya azua maswali

Watuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya aina ya heroin, wanalalamikia kucheleweshwa kwa shauri dhidi yao wakidai linachukua muda mrefu tangu lilipoanza mwaka 2013. Watuhumiwa hao wanamlalamikia Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya wakihoji; “Sijui Mheshimiwa Jaji ana malengo gani…