Author: Jamhuri
Tatizo la Tanzania si Katiba mpya
Mwaka 2012 niliandika makala katika safu hii iliyosema: “Nitakuwa wa Mwisho Kuishabikia Katiba Mpya”. Nilisema nimejitahidi kutafakari ni kwa namna gani Katiba mpya itatuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka, nimekosa majibu – na sidhani kama nitayapata. Fikra zangu zikanirejesha enzi za…
Yah: Mwisho wa kuiga haupo mbali
Kuna wakati niliwahi kufikiria kuwa naweza kuwa mkimbiaji mzuri wa mbio ndefu kama ambavyo akina Juma Ikangaa, Filbert Bayi, Suleiman Nyambui na wengine, nifanye hivyo ili kutoa aibu kwa Taifa langu ambalo limeshindwa kupata wakimbiaji bora kwa kipindi kirefu hadi…
Watanzania tujihadhari, misaada na mikopo
Kasi ya utendaji kazi za Serikali katika awamu hii ya tano, imeanza na dalili njema ya kuwaletea mabadiliko ya kweli ya kurudisha mfumo wa utawala bora ambao utaboresha maisha ya Watanzania, uchumi imara na maendeleo himilivu. Watanzania wameanza kupiga mayowe…
Ukomavu wa kisiasa na woga wa mabadiliko
Mara zote Watanzania wamejitambulisha kama wakomavu wa siasa, ukomavu usioeleweka namna ulivyo kama nitakavyoonesha hapa chini. Ikumbukwe kwamba mara baada ya Tanganyika (Tanzania Bara) kujitawala kabla ya kuungana na Visiwa vya Zanzibar, iliamriwa kwamba ni bora nchi ikafuata udikteta wa…
Profesa Muhongo ni uteuzi makini
Baraza la Mawaziri la Rais John Pombe Magufuli limetoa kile ambacho walio wengi walikuwa wanakitarajia kufuatia mambo mengi aliyoanza nayo, ambayo walikuwa hawakuyazoea. Rais Magufuli alianza kwa kumteua waziri mkuu ambaye kusema ukweli hakuna aliyekuwa akimuwazia. Ilikuwapo idadi kubwa ya…
Namuona Mourinho akitua Man United
Kwa wasiofahamu ni kwamba Kocha Jose Mourinho mbali ya kuwa na utani wa jadi na Arsene Wenger wa Arsenal, lakini alikuwa na upinzani mkali hasa wa maneno ya karaha na Sir Alex Ferguson, kocha wa zamani wa Manchester United. Ferguson…