Author: Jamhuri
Utata kifo cha Ofisa Uhamiaji
Kifo cha Ofisa wa Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Rukwa, Chris Kanyama kimeibua utata na uhasama ndani ya idara hiyo nyeti nchini. Vyanzo vya habari kutoka idara hiyo vinasema kwamba Kanyama kabla ya kifo chake kulikuwa na mlolongo wa matukio…
‘Dk. Magufuli fanya haya tanzanite isiende Kenya’
Haya ni maajabu ya dunia! Licha ya nchi ya Kenya kutokuwa na chembe ya shimo la tanzanite, ndiyo inayojulikana kuwa msafirishaji mkuu wa madini hayo duniani ikifuatiwa na India na Afrika Kusini. Haya yametokea si kwa bahati mbaya, isipokuwa ni…
Kuuza ardhi ni kuuza uhuru (2)
Wiki iliyopita, mchambuzi na mwandishi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa na kikanda anazungumzia Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC), akisema Umoja huu wa sasa ni ulaghai mtupu. Alichambua akisema kama baada ya miaka 50 ya Uhuru, Wakenya siyo wamoja; Wauganda…
Walimu wanadai milioni 700 Nyerere University
Wafanyakazi na Wahadhiri wa Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), wameingia katika mgogoro na uongozi wa taasisi kwa kushindwa kuwalipa zaidi ya Sh. milioni 700 ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho. Pamoja na Serikali kupinga kwa nguvu…
Mawaziri wa JPM na mbio za sakafuni
Kasi ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano chini Rais Dk. John Pombe Magufuli inatia shaka. Bila shaka, baadhi yao wanaonekana kutafuta sifa ambazo hawastahili. Hawa wanaongozwa na hofu ya kutimuliwa kazi. Tangu walipoapishwa Desemba 12, mwaka huu, mawaziri…
Tumepevuka kisiasa (2)
Kwa kuwadokeza tu, vijana wale niliwasimulia juu ya chombo kimoja cha muziki tulichokitumia enzi za ukoloni. Chombo chenyewe kinaitwa santuriI (kwa Kiingereza ni gramaphone) ni sanduku la muziki lenye kamani ndani yake na mkono (handle). Lakini cha muhimu sanduku lile…