Author: Jamhuri
Polisi waomba Kitwanga, IGP wawanusuru
Baadhi ya askari polisi katika maeneo mbalimbali wamewaomba Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuingilia kati kuwanusuru na unyanyasaji wanaofanyiwa na Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCDs), wanaowahamisha vitengo…
WHC: VAT iondolewe mauzo ya nyumba
Kampuni ya Watumishi Housing (WHC) iliyoanzishwa mahususi kujenga nyumba za bei nafuu kwa watumishi wa umma, imesema Kodi ya Ongezeko ya Thamani (VAT) katika nyumba wanazojenga wakati wa kuuza inazifanya nyumba za bei nafuu kuwa ghali, hivyo Serikali iifute. Akizungumza…
Majipu huanza kama chunusi Zanzibar!
Miaka 15 iliyopita, nikimaanisha mwaka 2000 katika mwezi wa Novemba, nilifanya mahojiano na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara, Wilfred Muganyizi Lwakatare. Katika mahojiano hayo, nilimuuliza juu ya sintofahamu ya kisiasa iliyokuwa inaendelea Zanzibar baada…
Tanzania isinyamaze mauaji ya Burundi
Taifa jirani la Burundi lipo katika msukosuko mkubwa na wachambuzi wa masuala ya migogoro ya kisiasa wanasema kuna kila dalili kuwa taifa hili sasa litatumbukia katika mauaji ya kimbari. Burundi imeingia katika mgogoro baada ya Rais aliyeko madarakani Pierre Nkurunziza…
Vibali vyagonganisha viongozi wa Magufuli
Taasisi za Serikali zimeanza kugongana kutokana na Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano kupitisha sheria zinazokinzana. Utata huo umetokea baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu kutoa tangazo lililotiwa saini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,…
Sakata kesi ya ‘unga’ lachukua sura mpya
Wiki moja tangu kuchapwa kwa habari ya malalamiko ya Watuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya ‘unga’ aina ya heroin kuhusu kucheleweshwa kwa shauri wakidai linachukua muda mrefu kusikilizwa, limefumua mambo mengine. Taarifa zinasema kwamba shauri hilo lilitoka Mahakama ya…