JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

RC Kunenge – Tuitumie siku moja iliyosalia kujiandikisha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge, ameeleza zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura mkoani humo linaendelea vizuri, zoezi ambalo lilianza rasmi oktoba 11 na litakamilika Oktoba 20 mwaka huu. Aidha amewataka…

Rais Mwinyi azishauri taasisi za elimu ya juu kuanzisha kozi zinazochangia maendeleo nchini

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezishauri Taasisi za Elimu ya juu ziliopo nchini kuanzisha Kozi muhimu zenye uhitaji na uhaba wa Wataalamu zitakazochangia maendeleo ya nchi. Rais Dk. Mwinyi…

Dk Biteko : Mwalimu ni nyota inayoangaza hivyo tuwaheshimishe

Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwalimu ni nyota inayoangaza na hivyo kama Taifa tuwaheshimishe walimu wa Tanzania na Kuinua taaluma ya Ualimu ambayo imekuwa chanzo cha maarifa kwa Watoto…

Waziri Mkuu ajiandikisha kijijini kwake Nandagala

Na Mwandishi Wetu, Ruangwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Waziri Mkuu ambaye alifuatana na mkewe Mama Mary Majaliwa,…

Mbio za Kilimanjaro kuiweka Tanza kwenye ramani

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amesema Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ni chachu katika kukuza utalii na kuiweka Tanzania katika ramani ya riadha na utalii Kimataifa. Chana ametoa kauli hiyo…

Viongozi wa dini Tanga washauri kuliombea taifa

Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Tanga Viongozi wa dini mkoani Tanga wameishauri serikali kuweka siku maalum ya kuliombea taifa wakati huu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili taifa liendelee kubaki salama. Ombi hilo wamelitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa…