JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mabadiliko ya mwaka yaende sambamba na siasa za nchi

Huu ni Mwaka Mpya. Nawatakia Watanzania wote heri ya Mwaka Mpya wa 2016.  Kawaida Wahaya wana jadi ya kuupa jina kila mwaka unaokuja. Mwaka huu wameupa jina la ‘yangua’ lenye maana ya harakisha. Jina hilo limetungwa na Filbert Kakwezi, kijana…

Vituko vya JK

Kwa miaka 10 mfulululizo Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete hakutoa kipaumbele katika bajeti ya maendeleo hali iliyoathiri uchumi wa nchi na hivyo kudumaza uchumi wa mtu mmoja mmoja, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Mapitio ya kibajeti yanaonyesha kuwa Rais Kikwete alitilia mkazo…

Tanzania ikikusanya kodi haihitaji misaada

Tanzania kwa sasa inaweza kujiendesha bila kupata msaada wa nchi yoyote iwapo kasi ya ukusanyaji mapato, kuziba mianya ya uvujaji na matumizi sahihi ya kinachokusanywa itaendelea ilivyo sasa chini ya Rais John Pombe Magufuli. Uchunguzi wa mfumo wa kodi, mbinu…

Diwani CCM avamia barabara, ajenga

Diwani wa Kata ya Kijichi, Anderson Chale, analalamikiwa na wananchi wa mtaa wa Mbagala Kuu, Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam kwa kuvamia eneo la barabara na kujenga jingo. Wananchi hao wanasema kutokana na uvamizi huo uliofanywa kwa makusudi…

Mgogoro wa Z’bar umechusha

Mgogoro wa kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar umekuwa na athari kubwa kwa Wazanzibari na Watanzania kwa jumla. Ingawa hatuungi mkono misaada ya masharti, lakini kitendo cha Marekani kuinyima Tanzania msaada kwa sababu ya mgogoro huo, kinapaswa kutuamsha. Tuamke kwa kuhakikisha…

Madiwani wamliza mbunge

Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, mkoani Geita, Hussein Amar Kasu, amejikuta akipigwa na butwaa baada ya mtu aliyemwandaa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri, John Isack John, kushindwa. John, Diwani wa Kata ya Kafita, aliandaliwa mazingira ya ushindi ambapo madiwani 14 kati…