JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kodi vifaa vya gesi zifutwe, tuokoe misitu

Mungu alitupendelea Watanzania. Akatupatia ardhi na misitu mingi, mizuri na yenye tija kubwa kwa binadamu na viumbe hai wengine. Uzuri wa Tanzania sasa unaharibiwa na Watanzania wenyewe kwa uamuzi haramu wa kuteketeza misitu ya asili. Takwimu zinaonyesha kuwa hekta 400,000…

Hali ya kisiasa nchini itizamwe kwa umakini

Tanzania inaonekana ni nchi ya amani na utulivu kwa wakati huu. Na huo umegeuka wimbo unaoimbwa na kila mmoja wetu lakini bila kuelewa vina vya wimbo huo vinapatikanaje.  Wimbo upo tangu miaka mingi iliyopita, unaimbwa kwa mbwembwe tu basi. Wengi…

Uchaguzi Mkuu bado mbichi

Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 umekwisha kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuibuka kidedea. Hata hivyo, katika hali halisi ngoma inaelekea kuwa bado ni mbichi. Katika  kuitolea ufafanuzi  hoja hiyo, sina budi nielezee, japo kwa muhtasari, historia ya kibwagizo kilichozoeleka hapa…

Nyalandu ajiandaa kurejea Maliasili kwa kutumia Bunge

Sasa ni dhahiri kuwa juhudi za aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Jakaya Kikwete, Lazaro Nyalandu, kutaka kuwa mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Dk. John Magufuli zimegonga mwamba. Kama ambavyo ilikuwa katika…

Almasi ya Mwadui inavyompamba Malkia Elizabeth II wa Uingereza

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaaliwa kuwa na aina mbalimbali za madini na inatajwa kuwa kitovu cha madini ya vito barani Afrika. Miongoni mwa madini hayo ya vito ni almasi. Asili ya neno ‘almasi’ kwa lugha ya Kiswahili haifahamiki vizuri,…

Makulilo ni nani kwenye udhamini wa elimu ughaibuni?

N dugu wadau wote wa gazeti la JAMHURI, nimerudi tena kuungana nanyi. Kwa wale ambao mmekuwa mnafuatilia gazeti hili makini lilipoanza, nilikuwa naandika makala kila wiki kuhusiana na masuala ya UDHAMINI WA ELIMU YA JUU UGHAIBUNI yaani SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES. Kwa…