Author: Jamhuri
Yah: Kikao cha Bunge na majipu yaliyokomaa ya posho za vikao
Tanzania ni moja kati ya nchi maskini sana duniani kutokana na kutotumia vizuri rasilimali zake na kuziendeleza. Lakini, pia ni nchi mojawapo ambayo utawala wa kujipendelea kisiasa katika kujilimbikizia mali umekithiri, hali ya kimaisha ya wanasiasa ni tofauti kabisa na…
Wadaiwa Sugu MUWSA ni jipu
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA), inahudumia Wakazi wapatao 194,756. Hii ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 pamoja na wakazi wengine 30,000 waliopo maeneo ya Wilaya za Hai na…
Ubaguzi Tuzo Oscar: Watu weusi wasusa
Mcheza filamu, raia wa Kenya, Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine Weusi kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo za Oscar. Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana…
Wenye Man United waikwepa timu yao
Mtendaji mkuu wa zamani wa Manchester United ya England, David Gill ameangalia uwezo wa timu hiyo kwa sasa akatikisa kichwa kisha akasema, “Hawa sio mashetani wekundu ninaowajua.” Bila kutafuna maneno wala kupepesa macho na kutikisa masikio, Gill amesema, “Ninachokiona kwa…
Familia ya JK yahusika UDA
Baada ya usiri wa muda mrefu juu ya familia ya Rais (mstaafu), Jakaya Kikwete, kuhusika na ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) uliotawaliwa na kiwingu, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebainika kuwa familia hiyo inahusika na ni…
Matajiri 3 mbaroni kwa mauaji Moshi
Hatimaye watuhumiwa watatu kati ya watano wa mauaji ya John Massawe, katika Kijiji cha Kindi, Kibosho mkoani Kilimanjaro, wamekamatwa. Masawe aliuawa kikatili Juni 9, 2009 kijijini hapo, lakini baadaye watuhumiwa wa mauaji hayo wakaachwa. Waliokamatwa na kuwekwa rumande katika Kituo…