Author: Jamhuri
Barua yangu kwa Profesa Ndalichako (2)
Sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala hii, mwandishi alisema ni vyema serikali ikashauriwa juu ya hatari iliyo mbele yetu ya elimu inayotolewa sasa kama haitachukuliwa mikakati ya dhati na makusudi ili kuibadilisha na kuirudisha katika hali ya elimu ya…
Mabondeni sawa, mapapa na nyangumi hapana!
Hatimaye suala la ubomoaji wa makazi ya wananchi katika bonde la Msimbazi na Mkwajuni jijini Dar es Salaam limechukua sura mpya. Tunaambiwa katika semina elekezi kwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyofanyika mjini Dodoma, wengi wao wamemgeukia Rais John…
Huduma ya Kwanza: Kula sumu
Katika sehemu ya mwisho ya makala hii tunaangalia jinsi utakavyompa mwathirika huduma ya kwanza kwa matatizo yafuatayo kabla hajatokea daktari au atakapopelekwa zahanati ama hospitali kwa tiba inayostahili … Kula Sumu Mtu akila sumu (poisoning by mouth) anahitaji kufanyiwa…
Kwa hili sote tu wadau
Sisi Watanzania tukubali kuwa tumependelewa sana na Mwenyezi Mungu. Kwani hatukuwahi kutawaliwa kikoloni moja kwa moja na Mwingereza kama walivyokuwa majirani zetu. Wakenya wametawaliwa kama koloni la Mwingereza, Nyasaland (Malawi) kama koloni la Mwingereza, Zambia (Northern Rhodesia) kama koloni la…
Ya Lake Oil tuliyasema
Februari, 2013 tuliandika habari ambayo hatimaye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano, imeuthibitishia umma ilikuwa kweli. Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil imebainika kukwepa kodi ya Sh bilioni 8.5…
Yah: Matusi, kelele nazo tunalipia kodi?
Nimeamka nikiwa najiandaa kuanza kusikiliza michango ya wabunge inayotokana na hotuba ya Rais John Magufuli, ambayo kwa aliyeisikia anaweza kudhani kwamba michango ya waheshimiwa wengine inaweza kuchafua hotuba iliyokuwa na mashiko zaidi kwa kipindi chake cha kulifungua Bunge mwaka jana….