Author: Jamhuri
Shirika la Posta kuongeza kasi ya TEHAMA
Matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), yameshika kasi na kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa urahisi kwa wananchi kuhusiana na masuala ya kijamii, kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa. Kutokana na ukuaji wa kasi ya matumizi hayo ya TEHAMA,…
Zijue aina 7 za adhabu zinazotolewa na korti
1. ADHABU YA KIFO (DEATH PENALTY) Adhabu hii hutolewa kwa wenye makosa makubwa kama kuua kwa kukusudia (murder). Kifungu cha 26 Kanuni za Adhabu kinasema kuwa mtu atakapohukumiwa adhabu ya kifo basi adhabu hiyo itatekelezwa kwa kunyongwa kwa kitanzi mpaka…
Jose Chameleon azawadia miguu
Mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleon, amenunua jozi moja ya kiatu aina ya raba kwa dola 12.5 za Marekani (sawa na Sh milioni 27 za Tanzania). Wakati baadhi ya mashabiki wa muziki wakimbeza kwenye mitandao ya…
Harufu ya Mourinho yatapakaa Man Utd
Licha ya uongozi wa Manchester United ya England, kukana kuzungumza lolote kuhusu kinachoendelea kati yao na Kocha Jose Mourinho, taarifa za uhakika zinasema pande zote mbili, zimekuwa na mazungumzo mazito. Mourinho ni kocha mzoefu, mwenye maneno ya karaha na kejeli…
Madeni ya JK balaa
Deni kubwa ambalo Serikali inadaiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, linatishia uhai wa mifuko hiyo, kiasi cha baadhi kuanza kusuasua na hata kushindwa kulipa mafao kwa wanachama wake, JAMHURI inathibitisha. Hadi mwanzoni mwa mwaka jana, mifuko yote sita ilikuwa…
Tigo ‘inavyoumiza’ wajawazito Msewe
Kwa muda sasa MM amekuwa haonekani. Kuna maswali mengi juu ya kupotea kwake, lakini anawahakikishia wasomaji kuwa bado yupo, ukiachilia mbali matatizo ya kiafya ya hapa na pale yanayosababishwa na umri wake. Ni kwa sababu hizo hizo za umri, MM…