Author: Jamhuri
Sokwe hatarini kutoweka (2)
Katika kikao cha Desemba 17-18, 2016 mjini Mpanda, Mkuu wa Mkoa Katavi alipiga marufuku ukataji miti katika maeneo muhimu kwa maisha ya Sokwemtu. Binafsi nakubaliana na msimamo huo na kuunga mkono kwa asilimia mia moja amri halali ya Mkuu wa…
Mabepari wakutana Uswisi kupanga mikakati
Mkutano wa matajiri wakubwa duniani ulifanyika mjini Davos katika milima ya Uswisi tarehe 20 hadi 23 Januari mwaka huu. Takriban matajiri 2,500 walishiriki, pamoja na wakuu wa kampuni za kimataifa, wakuu wa serikali na watu mashuhuri. Huu ni mkutano wa…
Barua yangu kwa Profesa Ndalichako (3)
Kaulimbiu ya nchi inayozipaisha nchi zilizoendelea kiuchumi ni: Sayansi, teknolojia, ugunduzi, ubunifu na demokrasia. Nasi, sharti hii iwe ndiyo kaulimbiu yetu na siyo demokrasia peke yake. Ni vyema Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia (Ubunifu) na Ufundi kwa kushirikiana …
CHANJO KWA KINGA
Jitihada zimekuwa zikifanywa na binadamu kote duniani tangu zamani ili kumwepusha na kuathiriwa na vinavyoweza kuzorotesha afya yake. Katika utaalamu wa kileo, chanjo za dawa hutumiwa kwa kuzidunga mwilini (vaccination) ili kuamsha chembe za kinga za kimaumbile zizaliane kwa wingi…
Tanzania ya sasa inamfaa Rais Magufuli
Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amesema anapochukua hatua yeye si kichaa, si dikteta, si shetani wala si mnyama, ila ni mpole, lakini amefika mahali lazima afanye hivyo kwani ndani ya…
Kwa hili sote tu wadau (2)
Ilipoishia wiki iliyopita: Nchi za Dunia ya Kwanza (Ulaya) kama zinavyoitwa kimaendeleo, zimepitia machungu mengi tena kwa karne kadhaa ndipo zikafikiria aina ya demokrasia wanayojivunia siku hizi. Wamepitia ile hatua kihistoria tunayoiita “RENAISSANCE” kule Ulaya, wakaanza kuamka lakini waliuana kweli….