Author: Jamhuri
Jipu jipya
Ufisadi mpya na mwanya wa wizi wa mapato makubwa ya Serikali umebainika kufanywa kwenye uingizaji wa gesi, mafuta ya kula, mafuta ya magari na mafuta ya viwandani nchini kutokana na kupuuzwa kwa matumizi ya mita (flow meters). Katika eneo la…
‘Yaliyonikuta Precision Air’
Sauti nyororo ya mwana mama inapokea simu, na kabla sijasema lolote, nakaribishwa kwa maneno: “Precision Air, Can I Help You?” Baada ya kujua nazungumza Kiswahili, ananiuliza: “Nikusaidie…” Namjibu: “Naam, naomba kununua tiketi ya kwenda Musoma Jumanne tarehe 19, 2016…” Baada…
Tajiri kizimbani akituhumiwa kughushi nyaraka Moshi
Mfanyabiashara maarufu, Thobias Moshi (47), maarufu kwa jina la ‘Toby’ mkazi wa Shanty Town katika Manispaa ya Moshi, amefikishwa mahakamani akishitakiwa kwa makosa mawili ya kughushi nyaraka. Moshi, ambaye ni Mkurugenzi wa Mabasi ya Amazon na mmliki wa vitegauchumi Moshi…
Magufuli anaheshimu waandishi, nchi itanyooka
Wiki iliyopita sikuandika kwenye safu hii. Sikupata wasaa huo kutokana na ukweli kwamba nilikuwa kwenye harakati za uchaguzi. Naomba kuwashukuru wahariri wenzangu walionichagua kwa kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Pamoja nami, walichaguliwa Mwenyekiti, Theophil Makunga,…
Serikali sasa itoe mwongozo elimu bure
Tangu shule zimefunguliwe Januari, mwaka huu na Serikali kuanza kutekeleza sera ya elimu bure darasa la kwanza hadi kidato cha nne, kumetokea mambo mengi. Tumesikia wakuu wa shule katika maeneo kama Mwanza, Kagera na Kilimanjaro wakifukuzwa kazi kwa kuchangisha…
Polisi wanatumiwa vibaya
Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo Polisi wametumiwa vibaya na Serikali, taasisi na watu wengine. Hali hii imetufikisha mahali ambako ile kauli ya siku nyingi kwamba polisi ni usalama wa raia inaonekana haina maana tena. Tumeshuhudia wakati wote polisi wakizuia maandamano…