Author: Jamhuri
Hamas waanza mchakato wa kumchagua kiongozi mpya
Kundi la Hamas laanza mchakato wa kumchagua kiongozi mpya baada ya Yahya Sinwar kufariki kwenye shambulio la Israel Maafisa wawili wa Hamas wamesema kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku…
Aina mpya ya malaria yatishia Afrika
Maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika yamo hatarini iwapo aina mpya ya vimelea vya malaria vinavyopatikana barani Asia vitaenea na kufika barani Afrika. Watafiti wameonya kuwa vimelea hivyo havisikii dawa aina ya Artemisinin inayotumika kote barani Afrika kutibu Malaria….
Mchechu achangisha milioni 117/- ujenzi wa Kanisa Naibili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro KIONGOZI anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, Nehemiah Mchechu ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa…
Kongamano la kimataifa la vijana kuanza kesho Arusha
Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha. Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Vijana na Utawala wa Ardhi barani Afrika (CIGOFA4) unatarajiwa kufanyika kwa siku nne kuanzia kesho jijini Arusha wenye lengo la kuharakisha haki za vijana katika ardhi. Mkutano huo ulioandaliwa…
Muigizaji Pembe afariki dunia
Na Isri Mohamed Muigizaji Mkongwe wa Vichekesho Nchini, Yusuph Kaimu maarufu kama Pembe Amefariki dunia Katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam, Jioni ya Leo Oktoba 20, 2024. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu wa chama Cha Waigizaji…
Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar
Atashirikiana na wataalamu wa Mloganzila Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MTAALAMU bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kambi ya…