Author: Jamhuri
Mama akodisha baunsa kumchapa mtoto wake
NA VICTOR BARIETY, GEITA Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amelazimika kutoroka nyumbani na kwenda kuishi kwa wasamaria wema, baada ya kulemewa na kichapo kutoka kwa mwanaume mwenye kifua na misuli mipana (baunsa). Mtoto huyo, mwanafunzi wa Darasa la Saba…
Rais ajaye na hatima ya Tanzania (1)
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema yote anayotujaalia. Naamini kuwa ni kwa uwezo na mapenzi yake Mungu ndiyo maana tunayaweza yote tuyatendayo katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo, ni wajibu na haki kumshukuru yeye aliye na uwezo na…
CCM inaanguka polepole kama dola ya Warumi
Mwaka 476 kabla ya Kristu kuna historia ya pekee katika dunia ya sasa. Mwaka huu, dunia ilishuhudia kuanguka kwa Dola Kuu ya Warumi (Rome Empire) iliyokuwa imetawala siasa za Ulaya kwa millennia moja, yaani miaka 1,000. Dola hii ilikuwa ikiongozwa…
Nauli za daladala kushuka Machi 18
Nauli za daladala nchini zinatarajia kushuka mwishoni mwa mwezi huu kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta nchini na duniani kwa ujumla. Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (DRCOBOA), Sabri Mabrouk, ameiambia JAMHURI…
Uhamiaji ‘wauza’ nchi
Maisha ya Watanzania yapo hatarini kutokana na mtandao wa wafanyabiashara ya kusafirisha binadamu duniani (human traffickers) kutoka nchini Pakstan kuivuruga Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, kwa kutengeneza mtandao ndani ya Idara ya Uhamiaji. Vyanzo vya habari vya…
Kumekucha urais
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe; imedaiwa kuwa anaendesha kampeni kali ‘kimyakimya’ kuhakikisha anateuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania kiti cha urais mwaka huu. Habari za kiuchunguzi zisizotiliwa shaka ilizozipata Gazeti la JAMHURI, zinaonesha…