JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Daktari: Sababu za mashabiki kuzimia

Zaidi ya mashabiki 20, walipata mshtuko Jumamosi iliyopita wakati mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Yanga iliyotoa uwanjani na ushindi wa mabao 2-0. Ajabu ni kwamba kati ya hao, 15 walikuwa ni wa Yanga licha ya timu yao…

Sarakasi Bandari

Sakata la kufungia mita za kupimia mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya kupata vielelezo vinavyoonyesha kuwa Kamishna wa Wakala wa Vipimo, Magdalena Chuwa aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi alitengeneza mkoroganyo mkubwa. Chuwa alizigonganisha taasisi za…

Jipu la ujangili

Kazi ya kudhibiti ujangili katika mbuga na hifadhi za Taifa ni ngumu, kwani askari waliokabidhiwa kazi ya kulinda wanyama ndiyo wanaofanya ujangili, uchunguzi umebaini. Vyanzo mbalimbali vya habari vimesema ikiwa Rais Magufuli anataka kunusuru wanyama nchini, inamlazimu kusitisha ajira za…

Profesa Maghembe aigeukia KINAPA

Kampuni kadhaa za uwakala wa utalii zinazotoa huduma kwa watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), zinatuhumiwa kuunda mtandao wa kuhujumu mapato ya hifadhi hiyo. Kampuni hizo zinashirikiana na watumishi wasio waaminifu wa hifadhi hiyo, kuingiza wageni kwa…

Magufuli katoa suluhisho Zanzibar

Kabla ya Jumamosi iliyopita, hata mimi nilikuwa mtumwa wa mawazo. Nilikubaliana na waliosema Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia uchaguzi wa Zanzibar kunusuru hali. Akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Rais Magufuli alisema wazi…

Asante Rais Magufuli kutambua wanahabari

Jumamosi iliyopita, Rais John Pombe Magufuli alivisifia vyombo vya habari. Alisema habari zinazotangazwa na vyombo vya habari zinaisaidia mno Serikali kuboresha utendaji wake. Kwa maneno mazito, Rais Magufuli alisema: “Mmetusaidia sana Serikali hii, naomba msichoke. Naomba msichoke. Mnatoa elimu ya…